Chumba cha kupanga maeneo ya Kariakoo/Upanga

Chumba cha kupanga maeneo ya Kariakoo/Upanga

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,098
Reaction score
994
Habari wanajukwaa, natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kariakoo, au upanga. Ni kwa ajili ya wanafunzi wanne wa chuo,
Kama unafahamu nafasi iliyopo wazi naomba tufahamishane humu kwenye huu uzi au kwenye p.m
mungu awabariki!
 
hayo maeneo sizan kama chumba kinaweza patikana kirahisi, but nyumba unapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom