Chumba cha kupanga Kinahitajika, maeneo ya mwananyamala.

Chumba cha kupanga Kinahitajika, maeneo ya mwananyamala.

Dela

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
78
Reaction score
13
Habari za leo wakuu, kwa madalali na wenye nyumba, kinahitajika chumba cha kupanga Maeneo ya mwananyamala kwa kopa hadi hospitali. Kiwe self contained, maji na umeme ni muhimu, vikiwa vya kuchangia au binafsi. Nipe bei na mazingira ya chumba ili tuje kukikagua. mpangaji ni muajiriwa wa serikalini, hajaoa, kijana above 25 below 30 yrs. kama kuna masahihisho nijulisheni. nawasilisha.
 
Ni pm ....kuna chumba maeneo ya komakoma hapa mtu anatoka tarehe 30 January
 
Back
Top Bottom