Habari zenu wakuu,
Chumba kimoja self contained (chenye choo & bafu) jijini dar es salaam kinahitajika chenye mazingira na mandhari mazuri......kodi ya chumba inatolewa ya mwaka mzima. Yeyote ambaye yuko interested na this deal ni PM.
Contact:
hamna tatizo uki sms (text)
0774-000655
Thanks.