Chumba cha kuishi kinapangishwa

mtugani wa wapi huyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
1,239
Reaction score
1,477
Wakuu nina Chumba kimoja na kakorido hivi napangisha (sio self) Gharama ni nafuu kabisa tsh 600000 (laki sita tu) kwa Mwaka
Nyumba iko jarani kabs na huduma muhim Nyuma inapakana na Zahanati Mbele ina Super market hatua tano Kuna kituo cha Taxi hatua kumi na tano kuna kituo cha Daladala hatua kumi kuna kituo cha Police hatua Ishirini kuna Msikiti hatua Ishirini na saba kuna Kanisa hatua Ishirini na tisa kuna Soko na vingine vingi tu

Kirumba Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…