mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 94
Nakihitaji icho cha tandika mkuu. Nipe maelezo ya kutosha ikiwezekana na pichaTandlka kipo kwa gharama hiyo.Umeme na maji ndani.Huduma muhimu kama stendi za daladala(ie devis kona au sokoni tandika) pana mwendo wa kutembea chini ya dakika 10,kadhalika huduma za afya,soko,polisi na shule zote zinapatikana katika eneo hilo.
Riverside ndo wap?
Sipo eneo la tukio lakini nakuinbox kila kitu saa 10 ya jioni ya leoNakihitaji icho cha tandika mkuu. Nipe maelezo ya kutosha ikiwezekana na picha
Sipo eneo la tukio kwa sasa lakini nakuinbox kila kitu saa 10 ya jioni ya leoNakihitaji icho cha tandika mkuu. Nipe maelezo ya kutosha ikiwezekana na picha
Mkuu segerea mitaa gani nahitaji masta moja.segerea vipo lukiki...
**Mkuu segerea mitaa gani nahitaji masta moja.
mkuu m nataka master na sebule & (jiko) tandika kama inapatikana sema na weka beiTandlka kipo kwa gharama hiyo.Umeme na maji ndani.Huduma muhimu kama stendi za daladala(ie devis kona au sokoni tandika) pana mwendo wa kutembea chini ya dakika 10,kadhalika huduma za afya,soko,polisi na shule zote zinapatikana katika eneo hilo.
Vuta subira mkuu nifanye mchakato.mkuu m nataka master na sebule & (jiko) tandika kama inapatikana sema na weka bei