father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 982
- 1,128
hii iende jukwaa la chini kabisa.
cc @moderetor
Wakiendelea zaidi huyo mdada atazimia, kazibwa pua kazibwa mdomo atazimia tu!!!
Hivi wakijiona si watajicheka[/QUOTE
Acha niwatafute niwaoneshe nione reaction yao.
Lakini uchukue taadhali maana wanaweza kukuchalukia mkuuHivi wakijiona si watajicheka[/QUOTE
Acha niwatafute niwaoneshe nione reaction yao.
Hahahaha. kuna watu wanaweza kupoteza uhai kwa hili
Hahaaa.
Huyo jamaa ukimtizama vizuri amefumbua macho lakini haoni chochote.
Yaani I mean hana tofauti na huyo demu wake aliyefumba macho.
Haya mambo haya..Hatari sana.