Chukua hii...

Huu ni ukweli kuna mwanamke nilikua nampenda nilimsotea sana kumpata. Yaani alikubali kuwa na mimi lkn bado alikua anaringa na hanipi ushirikiano sana.

Mfano nilikua nataka kuongea na kuchat nae muda mwingi lkn hanipi ushirikiano sana, yaani anasema ananipenda lkn mimi naona kama hanipendi. Nilijitoa sana kwake ili aoneshe ananipenda kama ninavyompenda.

Mwisho wa siku alikuja kunipenda mpaka yaani akawa ananiambia kila kitu chake yaan mengine ni ya siri yake hakupaswa kuniambia ila alikua anafunguka kwangu alafu mimi kipindi hicho yaani upendo ukawa unapungua kwake coz nilikua simtafuti mpaka anitafute yeye, kuchat nae mpaka yeye alete story mpaka akawa analalamika sana navomfanyia sio.

Kuna kipindi aliniudhi kitu cha kawaida nikamkaushia siku 2 sipokei simu zake wala sms sijibu alilia sana mpaka nikawa najiuliza amekuwaje mbona zaman alikua ananipotezea yeye?

Kwahyo ni kweli mwanamke kwenye mapenzi anaanza 0 -100 na mwanaume anaanzia 100-0... huyu mwanamke tuna miaka ila bado sijamuoa,nipo nae mpka leo ananipenda mno toka anipende hajawai kuonesha kunichoka hata nifulie vp yupo na mimi ktk kila hali, na hajawai kuonesha hata kiashiria cha kiburi dhidi yangu.

Ananiheshimu sana, hata nikichepuka huwa najilaumu sana kwann nimefanya hivi maana huyu mtu hapaswi kufanyiwa hivo najutia ila ndo hivo wanaume haturidhiki ila hajawai nidaka kwenye michepuko.

Nampenda sana.
 
Niliposoma hii comment kabla ya kurudi kuangalia jina nilijua ni ww tu [emoji23].. bidada mbona unapenda sana hizi mambo za upinde ?
nasikia ni mwanaume huyo kumbe.
 
Daah hii scenario yako inafanana sana na ya kwangu..
ila mimi niko tofauti kwenye kumalizia siwezi kukubali eti arudi nimpokee..next to never.

I don't deserve someone who comes back, i deserve someone who never leaves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…