Chukua hii...

Katika hali ya kimahusiano baina ya me na ke huwa ktkt kupenda yani jinsi gani unampenda mtu.. mara nyingi wanaume huanza na kutamani kisha kupenda kadri ya mapokeo ya mwanamke lkn mwanamke hupenda taratibu kwa vipimo ajuavyo yeye
 
wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...
Mna dhambi sana
 
Mi sioni kama unatakiwa ukariri maformula meeengi.....we nenda tu
'go with the flow'
Ila mimi hapo sijatoa formula yeyote....ila sio wakati wote tu ni go with flow kuna time itabidi utumie akili

je hiyo flow ikiwa inaenda wrong na wewe uende wrong kisa flow inaenda hivyo.
 
Ila mimi hapo sijatoa formula yeyote....ila sio wakati wote tu ni go with flow kuna time itabidi utumie akili

je hiyo flow ikiwa inaenda wrong na wewe uende wrong kisa flow inaenda hivyo.
Ila kweli hata hivo Kuna vitu tunajifunza kwenye makosa yetu wenyewe na ya wengine
 
Ila kweli hata hivo Kuna vitu tunajifunza kwenye makosa yetu wenyewe na ya wengine
Yes kila kitu kina namna yake ya kukiishi ila sisi binadamu kuna wakati tunataka kupindisha ukweli ndo tuanajutia baadae.
 
Ukiona unatawaliwa na mwanamke ujue una shida mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina fuatilia channel za wazungu za mahusiano ya aina yote Hadi jinsia Moja wanawake Kwa wanawake wanaume Kwa wanaume na mahusiano ya kawaida tuliyoumbiwa asilia.

Mwanamke anayedate na Wanawake wenzake(yaani yeye ni msagaji anayetongoza na kudate wanawake wenzake) anakiri wanawake hawaeleweki kwenye mahusiano.Anasema wanawake hawajui wanachokitaka na Hadi mwisho kwenye video anatukana na anasema anaacha kudate wanawake ni Bora a date na wanaume wanaeleweka sio complicated kama wanawake.

Ukiona mwanaume anasema anashindwa kumtawala mwanamke wake ni kwasababu anabadilika badilika haeleweki hapo sasa kuishi Kwa akili na msimamo kunahitajika pamoja na kumtrain la sivyo ashike njia yake kama hayupo tayari kusikiliza huyo mwanaume.
 
Sawa, ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…