mirymicaiah605
Senior Member
- Apr 6, 2014
- 107
- 17
Mambo ya msingi kuyasoma na
kuyatumia kila siku ( majibu ya
kufanikiwa katika maisha)
1. Usijilinganishe Maisha yako na
watu wengine, huwezi jua wao
wanatumia njia gani kufanikiwa
2. Usiwe na mawazo hasi kwenye
vitu usivyo na uwezo navyo, ila
wekeza nguvu zako katika kila
ulifanyanlo sasa na utafanikiwa.
3. Usifanye kazi kwa kujitesa na
nje ya uwezo wako, fanya kazi kwa
kadri ya uwezo wako
4. Usijiumize sana kufikiria ya
baadae, jaribu kuwa makini na
wakati uliopo kwani ndio
utakueleza baadae yako itakuaje
5. Usimalize nguvu zako katika
umbea, chuki na majungu
6. Ota ndoto za mafanikio ukiwa
macho, hakikisha unajitahidi
kutimiza malengo yako kwa
kufanya mikakati yako kuwa na
mashiko
7. Kumbuka una kila kitu cha
kukufanya ufanikiwe, mfano afya,
akili, na fursa mbele yako
8. Kamwe usijikite katika
yaliyopita au kumkumbusha mtu
yoyote mambo yaliyopita kwani
yanaweza kuiharibu furaha ya sasa
9. Maisha ni mafupi sana hivyo
usipoteze muda kumchukia mtu
yeyote yule
10. Sahau na kukubaliana na
makosa yako ya zamani ili yasije
kukuharibia mipango ya sasa
11. Hakuna atakaekuja kukupa
furaha katika Maisha ako zaidi
yako wewe mwenyewe
12. Kumbuka Maisha ni chuo na
upo kwa ajili ya kujifunza hivyo
tengeneza CV yako vyema kwani
kila ujifunzacho kina maana katika
Maisha yako ya sasa na ya
baadae.
13. JItahidi kufurahi kila mara na
kila siku kwani ni dawa tosha ya
kukupunguzia maumivu ya Maisha
14. Usitake kushinda kila
mabishano/majadiliano , jaribu
kukubalina au kukataa
15. Wasilina na famila yako mara
kwa mara
16. Kila siku fanya kitu chenye
kuwafurahisha wakuzungukao na
Mungu wako
17. Uwe mtu wa kusamehe na
kusahau
18. Pata muda wa kuzungumza na
watu wenye umri wa miaka 70 na
miaka chini ya 6 kuna mengi ya
kujifunza
19. JItahidi angalau watu 3
uwafurahishe kwa siku
20. Vitu ambavyo watu
wanaviwaza kuhusu wewe
havikuhusu hivyo kuwa mpole
21. Kazi yako haitakuuguza ukiwa
unaumwa, hivyo jitahidi kuwa na
mahusiano mazuri na familia na
marafiki
22. Umfanye MUNGU awe wa
kwanza katika kila kitu
unachokifikiria au kukifanya na
utafanikiwa kwani MUNGU ni
muweza wa vyote
23. Fanya vitu vyenye uhalisia na
uwe tayari kwa kila matokeo
24. Pamoja na shida na majaribu
uliyonayo jitahidi kutoifanya dunia
itambue hilo
25. Kila siku kabla ya kulala
mshukuru MUNGU kwa siku nzuri
na ukiamka asubuhi hakikisha
unamshukuru MUNGU kwa
kukuamsha salama
26. Kama unamfahamu MUNGU
kila siku utaishi kwa furaha sana
na kumbuka ishi kwa furaha kama
kila siku ndio siku yako ya mwisho
kuishi hapa duniani
kuyatumia kila siku ( majibu ya
kufanikiwa katika maisha)
1. Usijilinganishe Maisha yako na
watu wengine, huwezi jua wao
wanatumia njia gani kufanikiwa
2. Usiwe na mawazo hasi kwenye
vitu usivyo na uwezo navyo, ila
wekeza nguvu zako katika kila
ulifanyanlo sasa na utafanikiwa.
3. Usifanye kazi kwa kujitesa na
nje ya uwezo wako, fanya kazi kwa
kadri ya uwezo wako
4. Usijiumize sana kufikiria ya
baadae, jaribu kuwa makini na
wakati uliopo kwani ndio
utakueleza baadae yako itakuaje
5. Usimalize nguvu zako katika
umbea, chuki na majungu
6. Ota ndoto za mafanikio ukiwa
macho, hakikisha unajitahidi
kutimiza malengo yako kwa
kufanya mikakati yako kuwa na
mashiko
7. Kumbuka una kila kitu cha
kukufanya ufanikiwe, mfano afya,
akili, na fursa mbele yako
8. Kamwe usijikite katika
yaliyopita au kumkumbusha mtu
yoyote mambo yaliyopita kwani
yanaweza kuiharibu furaha ya sasa
9. Maisha ni mafupi sana hivyo
usipoteze muda kumchukia mtu
yeyote yule
10. Sahau na kukubaliana na
makosa yako ya zamani ili yasije
kukuharibia mipango ya sasa
11. Hakuna atakaekuja kukupa
furaha katika Maisha ako zaidi
yako wewe mwenyewe
12. Kumbuka Maisha ni chuo na
upo kwa ajili ya kujifunza hivyo
tengeneza CV yako vyema kwani
kila ujifunzacho kina maana katika
Maisha yako ya sasa na ya
baadae.
13. JItahidi kufurahi kila mara na
kila siku kwani ni dawa tosha ya
kukupunguzia maumivu ya Maisha
14. Usitake kushinda kila
mabishano/majadiliano , jaribu
kukubalina au kukataa
15. Wasilina na famila yako mara
kwa mara
16. Kila siku fanya kitu chenye
kuwafurahisha wakuzungukao na
Mungu wako
17. Uwe mtu wa kusamehe na
kusahau
18. Pata muda wa kuzungumza na
watu wenye umri wa miaka 70 na
miaka chini ya 6 kuna mengi ya
kujifunza
19. JItahidi angalau watu 3
uwafurahishe kwa siku
20. Vitu ambavyo watu
wanaviwaza kuhusu wewe
havikuhusu hivyo kuwa mpole
21. Kazi yako haitakuuguza ukiwa
unaumwa, hivyo jitahidi kuwa na
mahusiano mazuri na familia na
marafiki
22. Umfanye MUNGU awe wa
kwanza katika kila kitu
unachokifikiria au kukifanya na
utafanikiwa kwani MUNGU ni
muweza wa vyote
23. Fanya vitu vyenye uhalisia na
uwe tayari kwa kila matokeo
24. Pamoja na shida na majaribu
uliyonayo jitahidi kutoifanya dunia
itambue hilo
25. Kila siku kabla ya kulala
mshukuru MUNGU kwa siku nzuri
na ukiamka asubuhi hakikisha
unamshukuru MUNGU kwa
kukuamsha salama
26. Kama unamfahamu MUNGU
kila siku utaishi kwa furaha sana
na kumbuka ishi kwa furaha kama
kila siku ndio siku yako ya mwisho
kuishi hapa duniani