Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,645
Hata mimi nashangaa siyo utani wa jadi Tena Bali chuki ya jadiYaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa yanga wanaichukia simba, na wa simba wanaichukia yanga.
Bado najiuliza je shida ni uwezo wetu sisi ngozi nyeusi au tatizo ni nini?
Najua wewe unayesoma hapa ni mmoja wapo.
Hebu jitafakari, chuki hiyo uliyonayo dhidi ya timu pinzani, je umeitoa wapi?
Ilikuwaje ukaichukia timu nyingine huku ukijificha kwenye kichaka cha utani wa jadi?
Nini kifanyike ili michezo katika nchi yetu itujenge tuwe na umoja wa kitaifa na sio uadui kama ilivyo hivi sasa?
Hajui kwamba Derby namba moja duniani River Plate ns Boca Junior sometimes hadi wanahamisha mechi na kupelekwa nchi nyingine kisa vuruguNi kwamba haujui mpira au nini?
Barcelona wanawapenda Madrid?
Man u wanawapenda man City?
Arsenal wanawapenda Tottenham?
River plate wanawapenda boca junior?
Inter Milan wanawapenda ac Milan?
Everton wanawapenda Liverpool?
Al ahly wanawapenda zamalek
Wydad wanawapenda raja Casablanca?
USHABIKI NI UCHIZI
Ndo utani wenyewe hamna chuki hapo,ushindani ni mkali ndo maana kila mtu anamwombea mwenzake mabaya maana moja akifaulu mwingine anaanza kumcheka mwenzake, mbona sisi mashabiki ndo tunaona starehe kubishana hivo.Hapa sipo upande wowote mkuu, nashangaa tu inakuaje hapa bongo unakuta kuna mashabiki wa medeama? Au wa wydad? Ina maana hatupendi nchi yetu iwe na mafanikio kwenye mpira? Watakuja al hilal na tp mazembe watapata mashabiki wa kutosha kwa mkapa ila kwa sisi wabongo dah support kwa timu ikiwa inawakilisha nchi hakuna kabisa
Kwa utafiti mdogo tu wenye tabia hizo ni mashabiki waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 kuja mbeleYaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa yanga wanaichukia simba, na wa simba wanaichukia yanga.
Bado najiuliza je shida ni uwezo wetu sisi ngozi nyeusi au tatizo ni nini?
Najua wewe unayesoma hapa ni mmoja wapo.
Hebu jitafakari, chuki hiyo uliyonayo dhidi ya timu pinzani, je umeitoa wapi?
Ilikuwaje ukaichukia timu nyingine huku ukijificha kwenye kichaka cha utani wa jadi?
Nini kifanyike ili michezo katika nchi yetu itujenge tuwe na umoja wa kitaifa na sio uadui kama ilivyo hivi sasa?
Kule ndiyo hatari zaidi nafuu huku Tanzania kuna Amani hizi kelele unazoona ni maneno ya mtandaoni tu .Sidhani kama nchi za ulimwengu wa kwanza zina tabia kama hizi
Huyo pacome wa yanga kafanya nn kikubwaa?Saidoo Na Kipara Chake Kama Mgongo wa Kijiko Nae akataka Kucheza Kama Pacome wa Yanga[emoji23] lakini wap[emoji23]
Halafu wameingia hawa watu wapuuzi na hovyo wenye kuitwa maafisa habari ndio wanazidi kuipanda mbegu ya chuki!Yaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa yanga wanaichukia simba, na wa simba wanaichukia yanga.
Bado najiuliza je shida ni uwezo wetu sisi ngozi nyeusi au tatizo ni nini?
Najua wewe unayesoma hapa ni mmoja wapo.
Hebu jitafakari, chuki hiyo uliyonayo dhidi ya timu pinzani, je umeitoa wapi?
Ilikuwaje ukaichukia timu nyingine huku ukijificha kwenye kichaka cha utani wa jadi?
Nini kifanyike ili michezo katika nchi yetu itujenge tuwe na umoja wa kitaifa na sio uadui kama ilivyo hivi sasa?
Wabongo ndivyo mlivyo, hasa simba na yanga ni chuki juu ya chukiYaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa yanga wanaichukia simba, na wa simba wanaichukia yanga.
Bado najiuliza je shida ni uwezo wetu sisi ngozi nyeusi au tatizo ni nini?
Najua wewe unayesoma hapa ni mmoja wapo.
Hebu jitafakari, chuki hiyo uliyonayo dhidi ya timu pinzani, je umeitoa wapi?
Ilikuwaje ukaichukia timu nyingine huku ukijificha kwenye kichaka cha utani wa jadi?
Nini kifanyike ili michezo katika nchi yetu itujenge tuwe na umoja wa kitaifa na sio uadui kama ilivyo hivi sasa?
Soka limeingiliwa n wachumia Tumbo...polepole wanabadioisha utani wa jadi kuwa chuki! Unapoona waandishi ,wachakbuzi nao wanaingi humo hiyo ni Hatari!Hapa sipo upande wowote mkuu, nashangaa tu inakuaje hapa bongo unakuta kuna mashabiki wa medeama? Au wa wydad? Ina maana hatupendi nchi yetu iwe na mafanikio kwenye mpira? Watakuja al hilal na tp mazembe watapata mashabiki wa kutosha kwa mkapa ila kwa sisi wabongo dah support kwa timu ikiwa inawakilisha nchi hakuna kabisa
Kwa hiyo tunaiga!Hajui kwamba Derby namba moja duniani River Plate ns Boca Junior sometimes hadi wanahamisha mechi na kupelekwa nchi nyingine kisa vurugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss Hujui Mpira, Na siku wakiacha tu kuchukiana basi na hamasa ya watu kujaa uwanjani imeishia hapo....Huu unaoendelea sasa sio utani mkuu, ni kitu kingine kabisa ila kimejificha kwa jina la utani. Chunguza vizuri
Ni ushamba na ulimbukeni tu. Mchezo wa mpira umeingiliwa na watu wasioujua mpira bali ni washabiki tu timu.Yaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa yanga wanaichukia simba, na wa simba wanaichukia yanga.