high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,941 Reaction score 2,183 Feb 25, 2013 #1 hebu mwenye uelewa na madhara ya kutumia chuchu bandia kwa watoto atupie hapa
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Feb 25, 2013 #2 sijakuelewa chuchu unazozungumzia ni zile za kunyweshea watoto maziwa au?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,930 Reaction score 77,199 Feb 25, 2013 #3 Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa? Mama kawekewa hizo chuchu bandia.
Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa? Mama kawekewa hizo chuchu bandia.
C Chemwali JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 397 Reaction score 178 Feb 25, 2013 #4 oooh nina uelewa mduchu ya kwamba unamletea mtoto gesi kwani huvuta hewa muda mrefu kitu ambacho si kizuri kwa umri wake
oooh nina uelewa mduchu ya kwamba unamletea mtoto gesi kwani huvuta hewa muda mrefu kitu ambacho si kizuri kwa umri wake
high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,941 Reaction score 2,183 Feb 25, 2013 Thread starter #5 Asnam said: sijakuelewa chuchu unazozungumzia ni zile za kunyweshea watoto maziwa au? Click to expand... ndio hizohizo hebu niambie basi
Asnam said: sijakuelewa chuchu unazozungumzia ni zile za kunyweshea watoto maziwa au? Click to expand... ndio hizohizo hebu niambie basi
high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,941 Reaction score 2,183 Feb 25, 2013 Thread starter #6 Kennedy said: Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa? Mama kawekewa hizo chuchu bandia. Click to expand... ninamaana kuna vidude kama chuchu za kunyonyeshea mtoto akiwa mdogo au maana nyingine vikombe vya kuwapea watoto maziwa
Kennedy said: Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa? Mama kawekewa hizo chuchu bandia. Click to expand... ninamaana kuna vidude kama chuchu za kunyonyeshea mtoto akiwa mdogo au maana nyingine vikombe vya kuwapea watoto maziwa
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Feb 25, 2013 #7 Usafi wake ni mgumu sana haswa kwenye kitundu cha kutolea maziwa, yaya na akina mama wengi hawana uelewa mzuri jinsi ya kusafisha, kila siku utaishia hospitali mtoto akiharisha, unashauriwa kutumia vikombe vya watoto vyenye mdomo mkubwa.
Usafi wake ni mgumu sana haswa kwenye kitundu cha kutolea maziwa, yaya na akina mama wengi hawana uelewa mzuri jinsi ya kusafisha, kila siku utaishia hospitali mtoto akiharisha, unashauriwa kutumia vikombe vya watoto vyenye mdomo mkubwa.