Chronic headache

Chronic headache

Hbr, skuwa online ko mnisamehe ambao skuwajibu kwa muda muafaka, nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja mmoja,
, miwani nlivaa kama miaka 2 baadae kilpona, nikakaa muda mrefu hakiumi. Ko nitafanya kila mlichonishauri nitakuja na feedback
 
Hbr, skuwa online ko mnisamehe ambao skuwajibu kwa muda muafaka, nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja mmoja,
, miwani nlivaa kama miaka 2 baadae kilpona, nikakaa muda mrefu hakiumi. Ko nitafanya kila mlichonishauri nitakuja na feedback
Umepona au bado tukupee mizizi ya kale ikusaidie kwanye nembo ya kidonge?
 
Ubongo wakouna mucus unaosababishwa na glucose na protein nyingi eneo la ubongo , ipo namna yaku ondoa hili tatizo.
Jitahidi ku cutoff ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi, na vyakula vya wanga kali kama mihogo pia punguza ulaji wa wali wa mara kwa mara, badala yake kula matunda na mbogamboga za asili pia wanga asili kama mtama, uwele n.k
Kunywa dawa za kusafisha tumbo, no alcoholic prd. GMOs products zinaleta asidi nyingi tumboni na mwili kwa ujumla hivyo huzidisha mucus na inflammation ya cell za organ kama kongosho hivyo vyakula vya asili ni bora.
 
Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa
Mkuu pole kwa maradhi yako ya kichwa kisicho pona hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uweze kupona uguwa pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom