Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,235
- 83,226
Vijana waharibifu sana hawaVijana wa subaru mnajulikana hizo ndio zenu.
Ule muungurumo wa Subaru ushanishinda ni fujo barabaraniUkiwakuta wamening'iniza funguo kiunoni unaweza fikiri ni watu wa maanaππ
baada ya tukio la jana ungeacha akucheki yeye na sio wewe, na leo pia anaweza asitokee.Kila nikimcheki Christina simu apokei dah Leo asubuhi namcheki kapokea nikamuelezea mbona hukuja why akaniambia Leo atakuja ngoja niwe na moyo wa subira
na hata akitokea anaenda kunyonywa mtu damu!baada ya tukio la jana ungeacha akucheki yeye na sio wewe, na leo pia anaweza asitokee.
Dah nitalia sana kaka nitamfuata kwao maana kanipa location ya kitaa chakebaada ya tukio la jana ungeacha akucheki yeye na sio wewe, na leo pia anaweza asitokee.
Kunyonywa damu ni kawaida baada ya kunyonywa oobmna hata akitokea anaenda kunyonywa mtu damu!
Kaka ππVijana wa subaru mnajulikana hizo ndio zenu.
Huo ni udhaifu mkuu akizingua tafuta mwingine.Dah nitalia sana kaka nitamfuata kwao maana kanipa location ya kitaa chake
Mkuu nimempenda sana Christinakuna ng'ombe inaenda kuwa nyumbu!..π
Dah mkuu ππBdilisha location, bili ya 40,000 sio ya kuja kupiga kelele jf, pengine ndio maana hajaja anajiuliza hujui sehemu za kula bata na watoto wazuri.
Jana nilijikaza kiume kaka πAisee!