Christiano Ronaldo anabebwa mno na vyombo vya habari

Ureno imepenya kibahati bahati tu. Messi alikosa penalt kama alivyokosa Ronaldo, au umeshasahau kuwa naye alikosa? Bahati ya mtende. Ureno wameokota dodo chini ya mwarubaini

hilo dodo kwanini limeokotwa na Ureno na sio wengine???lazima watakuwa walifanya kitu flani ambacho wengine hawajafanya....mfano ukitaka kuokota matunda chini ya mti kwa uhakika damka alfajiri na kuwa wa kwanza kufika katika mti husika

inabidi na kina Messi wajifunze kuokota dodo!!!
 
Nafurahi hakufunga goli lolote siku ya fainali maana sifa zake angevua hata nguo atembee uchi.
 
mkuu ww ulitaka aonyeshwe nani? huyo ndo icon ya portugal kwa sasa.
 
Ronardo ameibeba saana ureno .tangu mwanzo wa mashindano.Amefanya vizuri saana.huwezi ukamlinganisha na messi ambaye aliikosesha timu yake.na hana historia ya kuibeba timu yake kitaifa.CR7 anasistahili kuwa best player2016

2016 kwa lipi? Nani kaipa ushindi portugal? Usiongee usivyovijua! Messi na ronaldo ni kama simba na swala
 
Messi ni very humble usimlinganishe na huyo kungwi mpenda sifa.

Mimi nashangaa wanamfananisha na MFALME duh hawa watu vipi? Ronaldo kwanza hastahiki kupewa hicho cheo wanachokitamani hawa washabiku wake maana humu hapatokalika!

Messi=
Ronaldo=Samatta
 
Nani kafanya hasira? Kustaafu kwa messi na mastraika wenzake ni kwa sababu ya uongozi wa soka nchini Argentina.. Argentina Federal of Association (AFA)
Hukumsikiliza messi anavo tangaza ku quit wewe, hao walistaafu kwa kuwa walifungwa na Chile, hakuna jingne(lets say Chile iliwastaafisha)
 
2016 kwa lipi? Nani kaipa ushindi portugal? Usiongee usivyovijua! Messi na ronaldo ni kama simba na swala

Mimi nashangaa wanamfananisha na MFALME duh hawa watu vipi? Ronaldo kwanza hastahiki kupewa hicho cheo wanachokitamani hawa washabiku wake maana humu hapatokalika!

Messi=
Ronaldo=Samatta
Hahahaha, hakuna la kumtetea Messi, nje ya Barcelona kafeli na kila siku huwa tuna waambia haezi fanya chochote bila kina kaka Iniesta, na sasa King Cr7 kasha shinda na timu yake ya taifa tena ilokuwa mbovu, ila Leofail amequit

Siku Messi akichukua na Argentina , anaweza sema chchte ila kwa sasa naona hana jipya
 
Messi hachezi mpira wake kwa kujishindanisha na fulani, unaflow kwa namna yake. Christian Ronaldo anapanua mbavu kutafuta kitu fulani. Credits zangu kwa Ronaldo ni fighting spirit, japo anaharibu kwa kutafuta sifa za kijinga. Messi is just a soccer genius, plays what comes in foot.

Nikukumbushe pia, Ureno ile iliyoshinda Euro ikicheza na Argentina ile iliyoshika nafasi ya pili Copa America, Ureno itaiaibisha Ulaya.
 
Wewe chizi, kama kashindwa mfaransa unadhani Argentina wakafanya nini so far, acha ushabiki wa kij****a
 
Wewe chizi, kama kashindwa mfaransa unadhani Argentina wakafanya nini so far, acha ushabiki wa kij****a
Mama Chiku na Family Detergent...poovu jiiiiingi! Huu mchezo bi mdogo, hauhitaji hasira! Hakuna haja ya matusi wala mapovu.

Timu moja inaweza kuifunga timu nyingine kwa sababu 2. Moja, ubora wako au mbili, udhaifu wa mpinzani wako. Ureno wametumia kujisahau tu kudogo kwa France kumaliza mechi. Statistics zinaonesha mchezo uliwalemea Ureno tangu awali.

Ukiwa unatoka mapovu, huwezi kukumbuka kuwa Ureno wamefika hapo kwa kuungaunga. Hawakuwa kundi gumu, lakini walilazimika kuvuka hatua ya makundi kwa best looser na bado una mzuka wa kutukana wakubwa. Je, mechi ya Argentina na Chile ya fainali uliitazama au unaongea makamasi tu kwa udhamini wa watu wa Marekani?
 
Back
Top Bottom