barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,874
Mtanzania na Mwana JF mwenzetu Chris Lukosi ameandika hivi:
Nina uzoefu mkubwa sana kwenye biashara ya shipping, na nilikua namiliki moja ya kampuni kubwa sana za Shipping hapa UK kabla hatujaiuza kwa Wakenya
Mizigo ya shipping kwenda East Africa ilikua mingi sana mpaka July 2015. Lakini baada ya hapo ilishuka sana kwa asilimia kubwa mpaka kufikia mwezi wa march mwaka huu ambapo biashara ni kama imekufa kabisa
Tuna ofisi bandari zote kubwa hapa UK, na tunaona kabisa mizigo imepungua sana mpaka meli nyingi zimekua cancelled kwa kukosa mizigo
Zamani kulikua na meli tatu kwa mwezi za magari na meli kumi za kontena kwenda East Africa, lakini sasa ni meli moja tu na inakua haijajaa.
Hii inatokana na exchange rate kua ngumu kwa shillings na pia uchumi wa dunia ku slow down kwa ujumla.
Lakini unakuta wapumbavu wachache wanasema eti mizigo imepungua bandari ya Dar kwa sababu serikali imetumbua majipu
Kwa hiyo mlitaka muendelee kutuibia? PUMBAVU KABISA.
Biashara sasa ineanza kurudi na tumeanza kuona meli kubwa zinapakia makontena kwa sababu kampuni za meli zimeamua kushusha bei za makontena kutoka £1,900 mpaka £1,150 kwa 40' whole sale ili kurudisha biashara.
Kwa hiyo msidanganye umma eti watu wameikimbia Dar, bali muwaambie ukweli kua uchumi wa dunia kwa ujumla une slow down.
ASANTENI KWA KUNISOMA...