Akiwa Anatarajia Kuachia Album Yake Ya #BREEZY Mwezi June 24 Mwaka Huu Msanii @chrisbrownofficial Ameweka Wazi List Ya Wasanii Ambao Wapo Kwenye Album Yake Hiyo Na Good News Ni Kuwa Msanii Wizkidayo Amekuwa Miongoni Mwa Wasanii Ambao Wametajwa Kuwepo Katika Album Hiyo
#BREEZY Amethibitisha Uwepo Wa #WIZKID Kwenye Album Yake Hiyo Ambapo Amepost Katika Insta Story Yake Amepost Majina Ya Wasanii Wote Watakaokuwepo Kwenye Album Yake Ya #BREEZY
September 9 kutakuwa na tamasha la Rolling loud(Ni kama Fiesta ya Marekani) wasanii kibao watatumbuiza tamasha mwaka huu linaanzia Toronto,Canada na katika show ya tarehe 10 WIZKID atakuwa lead performer yaani ni kama vile Rick Ross au 50 alivyofanya apperance Fiesta..The boy yupo mbali sana na wafulambute wengine tunaowajua