Chris Brown na wimbo wa Zero

Amenifanya niendelee kua shabiki wake wa siku zote
Hiki ni zaid ya kipaji wandugu au mnasemaje wana jf kwa waliousikia wimbo huu
Ukitaka Uone CB alivyo nuksi.. Sikiliza Album nzima mkuu..
Album inaitwa Royalty..

Kuna nyimbo kama Back to Sleep, Zero, Little More (Royalty), Fine By Me, KAE.,Day One, Blue Jean's, No Filter, Liquor etc...

Album ni kali sana.. Haipiti siku Mbili sijasikiliza na sichoki...
 
Kweli kabisa nimezipakua 4 kati ya hizo
 
Kweli kabisa nimezipakua 4 kati ya hizo

Ongeza hizooo

d674545573223d0ae13095dfe1a3abd4.jpg

37ec8917a4c760465e1e643a87f0522c.jpg
 
Ask how many nights i have been thhnking of you...zero..<<thats how many fucks i give, huhuhuh.. ujumbe murua kabisa huu..eti unafikiri nafikiria hayo matako yako.. dah wanaume sisi
 
Back
Top Bottom