Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,926
- 1,159
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limepiga marufuku matumizi ya Helkopta katika siku ya uchaguzi wa jimbo hilo. Awali CHADEMA ilitaka kutumia Chopa katika kumpeleka mgombea wao katika kituo chake cha kupigia kura na kulinda kura katika vituo mbalimbali. Source: Clouds TV habari.