Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
May god turn my wish true and bless me
Amen !.....umechagua husband eeh?
husband wa nin? Pesa kwanza. Lol
husband wa nin? Pesa kwanza. Lol
Basi tumwombe Saint Ivuga aweke "husband mwenye" pesa ili tukichagua tuwe tumeua ndege wawili kwa jiwe moja!
Basi tumwombe Saint Ivuga aweke "husband mwenye" pesa ili tukichagua tuwe tumeua ndege wawili kwa jiwe moja!
Niwawekee? Ila nitaweka "husband mwenye pesa kibao ila anatoa kichapo daily"
Hapo vipi?
Niwawekee? Ila nitaweka "husband mwenye pesa kibao ila anatoa kichapo daily"
Hapo vipi?
Hapo sio sawa mtakatifu....nani anataka kichapo?
kichapo tena! Tutashindwa sasa
hapo safi, wasiwe husbands wa mizinga.
kichapo tena! Tutashindwa sasa
Nlikuwa nawatisha tu, watu wangu nataka mle bata huko muendako/mtakapoolewa
Hahahahaha "baby plz recharge me"
"Baby plz jiandae leo jioni nataka tutoke" lolest
May God grant me all the success i wish, and better health all days,
hahaha! Mambo ya baby tukapate dinner sehemu halafu bili ikija nalipa mie hata siyataki.