Kwa ninavyo amini mimi Pepo na Moto ni hapa hapa duniani! Kama ukiona unaweza ku afford basic human need na kukidhi mahitaji ya familia yako pasipo kukwama naamini hiyo ni pepo kabisa ila kama ukiona hata kazi kupata ni ishu na huwezi kujikimu ama kutimiza haja za familia yako tena za msingi kabisa basi ujue huo ni moto unaputia na amna rangi utaacha ona! Moja kwa moja naelekea kwny pesa hayo mengine yatafuata,