Mtingaji JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,223 Reaction score 367 Sep 25, 2013 #2 Hicho ni Kirengesa.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Sep 25, 2013 #3 hahaaa nimebaki kucheka mwenyewe
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,107 Reaction score 370 Sep 25, 2013 #4 Jamani, amekosea kidogo tu, si kila anaesoma arekebishe tu???!!!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 25, 2013 #5 kirengeza duh.....umetisha
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 25, 2013 #6 atakua ameandika mtu wa Al Shabab nn?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 25, 2013 #7 Huyo atakuwa amekariri...hakuelewa kama unavyotamka ndivyo unavyoandika lol
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,493 Reaction score 18,387 Sep 25, 2013 #8 ha ha ha ha..ndiyo ofisi ya mtu hiyo!!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 25, 2013 Thread starter #9 Heaven on earth said: hahaaa nimebaki kucheka mwenyewe Click to expand... Ndio lugha hiyo mama