Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Hainq noma sema hizo karafuu zinauzwa wapi?Umeezea kisela sana...ila unatengeneza tatizo mwenyewe.
Jitahidi kula bamia...hata kwenye hizo dagaa unazopenda, uwe unapikia huko na bamia.
Loweka karafuu kwenye chupa ya maji na uwe unakunywa daily. Inasaidia pia
Asante mkuuMkuu Jitahidi upate glass 1/2 za maji ya uvugu vugu asubui.
Baada ya Kama nusu saa kula kipande Cha papai na ndizi.
Bamia pia ni nzuri, uki pata Ile supu yake, una zichemsha Kisha una kunywa ni nzuri Sana.
😄😄😄 acha kumtishaPole sana, badamu bamemwagika, kipa katoka golini tayari
Aache kula maandazi sana 😂Vidonda vya tumbo
Acid reflux au bawasiri inakunyemelea
Kunywa Maji kabla ya chakula hakikisha unaanza kula matunda ndio ule chakula hasa parachichi,ndiz na papai
Alikuwa anamaanisha nini?😄😄😄 acha kumtisha
Huna marinda 🤣😂Alikuwa anamaanisha nini?
Tena bila maji kilainishi mate lazima nikubaliAache kula maandazi sana 😂
Marinda ni in and out sio hard outHuna marinda 🤣😂
Hahah!! Achananae mkuu wewe pambania tu kulainisha chooAlikuwa anamaanisha nini?
Sio Mimi mkuu, ni waja wa dunia hao 🤣😂.Marinda ni in and out sio hard out
Kaka sema ukweli, SI uli taka kunweleza Walicho andika 😁Hahah!! Achananae mkuu wewe pambania tu kulainisha choo
Mmmmmmh.. weeeeeeeeHii inanikumbusha memba mmoja alileta uzi kama huu. Ila yeye alikuwa anamogoa hiyo kitu na mkono!
Hahah! Kila ukweli sio lazima usemwe bro, siunajua tena mambo ya majukwaani hapa wengine wanakuja kubeza tuKaka sema ukweli, SI uli taka kunweleza Walicho andika 😁
hehehe, mji una mamboHahah! Kila ukweli sio lazima usemwe bro, siunajua tena mambo ya majukwaani hapa wengine wanakuja kubeza tu