Hello JF
Leo nimejiuliza, yale magari yanayonyonya choo/karo huwa wanapeleka wapi?lol
u
Nimeona nchi moja haina huo utaratibu, sijajua wanafanyaje ila mambo yote chini kwa chini lol
Kwa nini na sisi tusiwe na utaratibu kama huo?
Mtaanza ooh Hatuwezi kufanya hivyo . Mnh moja wapo ya faida ya kusoma ni ku master your environment... Wasomi wetu wanachukua degrees za engineering mnapoteza muda kama mnashindwa kutumia na kusoma mazingira yetu na kutusaidia kutatua changamoto zinazotukabili kama jamii...
elimu yetu iakisi mazingira yetu, sio kucopy kila kitu cha nje