mbona majangaCHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.
Wakati wakuonyesha UTEKELEZAJI WA ILANI WENYE MASHAKA NA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE, HIZI NI PESA ZA UMMA.
Hiki ni Choo kimejengwa Katika SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, MTAA WA MSIGANI, KATA YA WAZO, WILAYA YA KINONDONI, MKOA WA DAR ES SALAAM.
WanaCCM hii ni aibu kuona ujenzi wa CHOO chenye gharama ya MIL.28.7 hakijaanza kutumika, tayari kina nyufa kila kona ya CHOO, Hivi pesa hizi zinazotumiwa vibaya ni faida ya nani...?
Naonyesha madhaifu haya ili SERIKALI ichukuwe hatua juu ya wahusika wenye kufanya uzembe wa namna hii.
Naomba SERIKALI ngazi ya WILAYA ifike sehemu husika na itowe majibu ya hili nasikitika kuona haya, BAADHI YA WATUMISHI WANAZALILISHA SERIKALI YETU, HILI SII JAMBO JEMA HALIPASWI KUFUMBIWA MACHO.
UJENZI WA CHOO CHENYE MATUNDU 12 HAKIJAANZA KUTUMIWA NA WANAFUNZI TAYARI KINA NYUFA KONA ZOTE HALAFU TUKUBALI UTEKELEZAJI WA ILANI KUWA UMEFANA?
HAPANA NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
NIPO KWA DHAMANA YA CHAMA, SII YA MTU.
Cde. Elmanz Rashid Gama
Mzalendo halisi &
Admin wa Jukwaa la
TAIFA LA CCM TANZANIA
View attachment 2475383
Hivi huwa hawaoni aibu??CHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Mkuu mbona choo cha zamani hiki.. umedanganywa aiseeCHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

KmmaeCHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Watu wa hivi wachukuliwe hatua.CHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Nchii imeoza kila kona huku Ifakara wanakwangua barabala za vumbi bila kujenga mitalo mvuo zikinyesha maji yanatuama ujinga huu unafanyika mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo diwani yupo mea yupo bado wanawake wachimbishwa barabala kwa mikono heti wanalipwa na tasafu barabala hizo mvuo ikinyesha tu zina jaa maji deni la taifa tutalipa mpaka kizazi sababu ya watu wachache wenye matumbo yasio jaaCHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.
Wakati wakuonyesha UTEKELEZAJI WA ILANI WENYE MASHAKA NA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE, HIZI NI PESA ZA UMMA.
Hiki ni Choo kimejengwa Katika SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, MTAA WA MSIGANI, KATA YA WAZO, WILAYA YA KINONDONI, MKOA WA DAR ES SALAAM.
WanaCCM hii ni aibu kuona ujenzi wa CHOO chenye gharama ya MIL.28.7 hakijaanza kutumika, tayari kina nyufa kila kona ya CHOO, Hivi pesa hizi zinazotumiwa vibaya ni faida ya nani...?
Naonyesha madhaifu haya ili SERIKALI ichukuwe hatua juu ya wahusika wenye kufanya uzembe wa namna hii.
Naomba SERIKALI ngazi ya WILAYA ifike sehemu husika na itowe majibu ya hili nasikitika kuona haya, BAADHI YA WATUMISHI WANAZALILISHA SERIKALI YETU, HILI SII JAMBO JEMA HALIPASWI KUFUMBIWA MACHO.
UJENZI WA CHOO CHENYE MATUNDU 12 HAKIJAANZA KUTUMIWA NA WANAFUNZI TAYARI KINA NYUFA KONA ZOTE HALAFU TUKUBALI UTEKELEZAJI WA ILANI KUWA UMEFANA?
HAPANA NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
NIPO KWA DHAMANA YA CHAMA, SII YA MTU.
Cde. Elmanz Rashid Gama
Mzalendo halisi &
Admin wa Jukwaa la
TAIFA LA CCM TANZANIA
View attachment 2475383
Tangu lini mwizi akawa na hayaHivi huwa hawaoni aibu??
Soko kuu la njombe mama alilifungua kwa mbwembwe hali yakuwa limejengwa chini ya kiwango sio muda mrefu sakafu yote itajaa mashimo,tatalipa madani yenye riba mpaka kizazi mwendo kama ndio huu sijui wabunge na wakuu wa wilaya hawa kusoma hata hile akili ya kuzaliwa hawanaga?Watu wa hivi wachukuliwe hatua.
Pia Serikali iajiri wataalamu wa Ujenzi iache walimu wafundishe sio kuwafanya wasimamizi wa Ujenzi.
Haya Mambo Yanaudhi but tabia ya wanasiasa kulazimisha gharama ndogo ndio inaoelekea ujenzi substandards.Soko kuu la njombe mama alilifungua kwa mbwembwe hali yakuwa limejengwa chini ya kiwango sio muda mrefu sakafu yote itajaa mashimo,tatalipa madani yenye riba mpaka kizazi mwendo kama ndio huu sijui wabunge na wakuu wa wilaya hawa kusoma hata hile akili ya kuzaliwa hawanaga?
Of course ujenzi huo uko kila sehemu hapa Tanzania na wanasingizia Pesa Ila Ni Bora ujenge sehemu ndogo ya kudumu kuliko sehemu kubwa ikasombwa na mvua.Nchii imeoza kila kona huku Ifakara wanakwangua barabala za vumbi bila kujenga mitalo mvuo zikinyesha maji yanatuama ujinga huu unafanyika mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo diwani yupo mea yupo bado wanawake wachimbishwa barabala kwa mikono heti wanalipwa na tasafu barabala hizo mvuo ikinyesha tu zina jaa maji deni la taifa tutalipa mpaka kizazi sababu ya watu wachache wenye matumbo yasio jaa
Wewe usiwafanye humu ndani watu wajinga kama wewe,Jiyo inaitwa joint expansion huwa inatokea kwenye majemgo meng
Hata zle hostel za maguful UDSM zilitokea