CHOO CHA KIKE DIPLOMA in TELECOMMUNICATION? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHOO CHA KIKE DIPLOMA in TELECOMMUNICATION?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Adryyboy, Jul 10, 2012.

 1. A

  Adryyboy Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nmehtm Form4 2011, matokeo yalikua mazur ningeweza kuchaguliwa special school yoyote, but nlichagua dit TEL. kama 1st choice na ndiko nlikopangiwa. Problm ni kwamba wa2 wanasema nlifanya chaguo si sahihi coz elim ya form6 ni must nmeingia choo cha kike bora ningeenda A lvl.!! Wameniambia kua cheti cha form6 ni moja ya cv muhimu ya kupata ajra apo mbele. Naombeni ushauri wenu kk & dd zangu, kichwa kinauma cjui nifanye nini!!!!...
   
 2. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Choo cha Kike?? Kwani cha kiumbe kikoje.. Usemi wako si wa Busara hata kidogo..

  Semi hizi zinadhalilisha watu Wa jinsi a tofauti Na mtanzania.. Usipende kuweka maneno ya kijiweni Na kihuni kwenye jamii inayokuzunguka ..

  Sahihisha Kichwa cha habari yako Na maelezo kijana
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kaka usisikilize ya watu kasome siku hizi waajiri hawaangalii vyeti bali uwezo kwani unaweza kuwa na vyeti mia bila kusoma.
   
 4. A

  Adryyboy Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry bro. Ckua na maana ya hiyo but nlitaka kumaanisha kua nmpita wrong way. Ntabadiri kichwa kaka.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,975
  Likes Received: 727
  Trophy Points: 280
  Iko bomba tu, maana utakuwa na profession cum academic.Chuo kikuu utasoma na ajira utapata tu.
   
 6. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  knowledge ya ku solve problems ndiyo ya msingi,sio lundo la mavyeti.hakuna ukweli na kama kuna wanaofanya hivyo ni uelewa mdogo,piga kitabu kwa bidii tu kazi zinazohusiana na technolojia zipo na firsa ya kujiajiri ni kubwa.
   
 7. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nenda kasome,achana na maneno ya kukatisha tamaa.
  Kwanza pale unaenda kusomea "profession" na unaipata ndani ya miaka 3 na unaweza ukaiendeleza mpaka ukawa dr(kama ukipenda)!
  Form6 yeye atakuwa na"profession"ndani ya kipindi kisichopungua miaka 6,Ukijumlisha miaka 2 ya a level+miaka 4 ya engineering kozi(kama ataweza kuhimili mikikimikiki)
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kasome kijana acha kusikiliza maneno ya watu
   
 9. J

  Jalem JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtu asikudanganye mdogo wangu hiyo ni njia sahihi kabisa ni rahisi zaidi kufanikiwa kuliko A level mm nimemaliza sec, 1988 nikapata 2 O level nikachaguliwa kuchukua CCD pale moshi coop college, leo nimemaliza MBA na niliweza kupatakazi kwanza kabla ya wenzangu wa A level, endelea hivyo ndugu yangu, Mungu amempangia kila mtu nanjia yake.
   
 10. A

  Adryyboy Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa ushauri wenu! Ntajitaidi kuzingatia.
   
 11. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  soma rafiki ni kozi nzuri
   
Loading...