Chondechonde wanawake wenzangu!

Sifanyagi hiyo kazi ila mnatulazimu muda mwingine........kalio lipi wakati mie nina flat screen.
Sister kama wewe ni flat screen soko lako nina hakika linasuasua sana.kalio ndo kiburudisho cha marijali wengi bana.
 
"...some of human desires and ambitions are far above the laws of nature..."
 
Tamu sanaaaaaaaaa
 

Hahaha au utakuta kanakuja kwa nyuma na kukuziba macho "can u guess who?"

Me: "Ng'onda"
 
Hahaha au utakuta kanakuja kwa nyuma na kukuziba macho "can u guess who?"

Me: "Ng'onda"
Heheheheheee polee mi mkali sana aiseeh utani wa hivo huwa naupiga marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…