Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

Rais hawezi kukubaliana na huo utumbo wa Nkamia... Namjua Magufuli vizuri
Yuko wapi kuukemea upuuzi huu. Hili lipo ndani ya uwezo wake binafsi. Anaweza kutoa tamko dogo na mjadala huu ukafia hapo. Ukimya wake ni kuridhia uzwazwa wa Nkamia.
Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM wakemee upumbavu huu
 
Back
Top Bottom