Chonde chonde

Chonde chonde

mjinishure

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
86
Reaction score
56
mimi ni kijana nimemaliza diploma ya ICT mwaka jana nchini kenya,kwasasa sina kazi yoyote kwani nipo nyumbani tu maeneo ya kiwalani dsm,hivyo naomba kwayeyote anaeweza kunisaidia kazi au ushauri wowote nitamshukuru sana kwani nikazi yoyote ile inayoendana na elimu yangu iwe mda mrefu au mfupi nipo tayari kufanya .
 
unajua nini kwenye hio ICT yako? Je kwanini usitafute kazi au kuendeleza elimu hiyo
 
Back
Top Bottom