Chonde chonde mliopo vyuoni!!



Mkuu nashukuru kwakulitambua hili na kukuri kwamba nawewe ni miongoni mwa watu waliokuwa na matarajio makubwa.
Ila hapa kuna kitu nimegundua kuna watu hii kamba imewagusa ingawa hawakulengwa wao' walengwa wa hii ni wanfunzi, mliopo kazini hata kama ni kwaconnection hongera zenu maana ujanja kupata' nanyie mlitumia hiyo kama competetive advantage.
 
ujumbe umefika, tatizo ni mawazo baadae kasumba gafla inakuwa tabia na hata akiajiriwa hawezi kuwa mzalendo mtu kama huyo maana mawazo yake ni hapa tu sio na pale................ mwisho naye anajifunza ufisadi kwa kuiga viongozi wa sasa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…