Hakijatua na hakitegemewi kutua ila kipo kwenye mzunguko (orbit?) wa sayari ya Mars.
ahah ha ha ha ha hyo kaliKwa Tanzania tutamtuma Wasira!
Kwa kuwa hakuna namna ya kuthibitisha, hata wakisema wametua Juani ni sawa tu.. Malaysia Airline jet mpaka leo haijulikani ilipo, ila sayari Mars wanajua ilipo , sawa tu, kweli Bollywood imepiga hatua kubwa sana looh ... !!
wanastahili pongezi za kipekee wametoka mbali saana
Kwa kuwa hakuna namna ya kuthibitisha, hata wakisema wametua Juani ni sawa tu.. Malaysia Airline jet mpaka leo haijulikani ilipo, ila sayari Mars wanajua ilipo , sawa tu, kweli Bollywood imepiga hatua kubwa sana looh ... !!
Kina faida gan wakati nchi yao ina watu wengi wenye umaskin wa kutupwa?