katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]Katoto kazuri kamechokozwa! Tema mate tuwachapeee
Kwanini ??Nikiwa nimechoka huwa napitia mada zako,huwa nafurahi sana
Ndio bossy unakuwa unajipa raha mtu anakusumbua ili usiwe na good time unajaribu ku ugnore ila wanazidi tu halafu nawachukia watu kama hawa.Eeeh....??? Mkuu kuna tatizo?
Hakika jinsia yako ni ya kiume....Yaani unakuta mtu ni mwanaume mbeya mbeya kama nini kazi kuhangaika na maisha yangu mniachee kwa maana sivaliani wake zenu vyupi au wachumba zenu.
Eti mwanamke ndio anapost post za kimapenzi na zamani ilikuwa ni wanaume tu.
Napia kama mimi ninapost nitaendelea unawaacha mashoga wanaongezeka na kuwaharibu watoto wenu wakiume
Badala yake mnamsema katoto kazuri hivi au vile naomba mniache kabisa .
Mimi sio saizi yenu.
Siunaona hawa mmeanza kunizoea .Huyu sio Dada.
Siunaona hawa wanaanza kunizoe aHakika jinsia yako ni ya kiume....
Vizuri basi mnikome eeDah nimeshindwa kuelewa kama huyu mtoa mada ni ke ama me ama he
Duh!!!! Pole mkuu wangu dah!!!!Ndio bossy unakuwa unajipa raha mtu anakusumbua ili usiwe na good time unajaribu ku ugnore ila wanazidi tu halafu nawachukia watu kama hawa.
Stress huwa zinapoteaKwanini ??
Yaani nakupaga raha sema hivyoo.Stress huwa zinapotea
ha ha ha ha ngoja nifanye mazoezi tuje tuviunganisheYaani nakupaga raha sema hivyoo.
Kumbe pengine marinda yanavuta, hakuna basha wa kumsugua katoto kazuri kama ni dume? Please msaidie ila na condom si kavu kavuHuyu sio Dada.
Umeamua kunitusi hivyo sina muda wakuwatukana mie nimekuaKumbe pengine marinda yanavuta, hakuna basha wa kumsugua katoto kazuri kama ni dume? Please msaidie ila na condom si kavu kavu
Sitaki umezeekaha ha ha ha ngoja nifanye mazoezi tuje tuviunganishe