Choki arudi tena Twanga Pepeta!

Mhh huyu Asha Baraka sio yaani.......... ngoja limovie lifike kwanza katikati nitauliza kitu.
 
Na yale matusi yote choki karudi.??
 
Last edited by a moderator:
Nampongeza sana Asha Baraka kwa kuwa mvumilivu kwa watu wajinga kama Ally Choki
 
Nampongeza sana Asha Baraka kwa kuwa mvumilivu kwa watu wajinga kama Ally Choki

Asha Baraka ni Iron Lady katika industry ya mziki wa dansi hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…