Ndio white cement hutumika ndani na nje but jambo la kuzingatia upande wa nje hakikisha inachanganya na rangi nyingi ili iwe na nguvu zaidi isilete mipasuko, pia katika ubora zaidi ubaweza tumia cement ya kawaida ukaichanganya na rangi/gundi ya PVA vizuri hutoa matokeo imara kwa skiming