Kisumbo Member Joined Jun 22, 2012 Posts 52 Reaction score 12 Jul 23, 2015 #1 Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened?
Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened?
B Bilima Senior Member Joined Jun 30, 2015 Posts 119 Reaction score 22 Jul 23, 2015 #2 Inakua ya kiswahili nw ....
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jul 23, 2015 #3 hapo kutakuwa na matatizo ya mitambo tu..inatokeaga mbona, watarudi tuu
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Jul 23, 2015 #4 Choice Fm hivi inamilikiwa na nani
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,396 Reaction score 9,264 Jul 23, 2015 #5 Heaven on Earth said: Choice Fm hivi inamilikiwa na nani Click to expand... Clouds Entainment.
SHANTI JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 296 Reaction score 365 Jul 23, 2015 #6 Kisumbo said: Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened? Click to expand... Kwa sasa wafanyakazi na watangazaji wote wa Choice fm wamekwenda likizo ya muda mfupi. Watarejea baada ya siku kadhaa, ili kupisha mabadiliko ya masafa ( frequency) na mtindo mpya wa kurusha matangazo yao. Endelea kusikiliza muziki bila kuchoka mpaka utakapotangaziwa upya.
Kisumbo said: Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened? Click to expand... Kwa sasa wafanyakazi na watangazaji wote wa Choice fm wamekwenda likizo ya muda mfupi. Watarejea baada ya siku kadhaa, ili kupisha mabadiliko ya masafa ( frequency) na mtindo mpya wa kurusha matangazo yao. Endelea kusikiliza muziki bila kuchoka mpaka utakapotangaziwa upya.
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,152 Reaction score 7,423 Jul 23, 2015 #7 Kizungu kigumu..
Z Zamazamani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2008 Posts 1,903 Reaction score 831 Jul 23, 2015 #8 Dah naona hii redio imebuma kabisa..Ruge jipange
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,628 Jul 23, 2015 #9 Unataka vipindi uvipeleke wapo? Wanataka kubadili mfumo ili wakimbizane na moto wa EFM 93.7 Dar es Salaam.
Unataka vipindi uvipeleke wapo? Wanataka kubadili mfumo ili wakimbizane na moto wa EFM 93.7 Dar es Salaam.
S Sovi Member Joined Jul 13, 2015 Posts 65 Reaction score 43 Jul 23, 2015 #10 My favorite channel.. ML Chris pls come back bro
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,243 Reaction score 138,640 Jul 23, 2015 #11 Kisumbo said: Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened? Click to expand... hata mimi nimejiuliza sana, asubuhi nimezoea kuwasikiliza EVANS na BABY jioni V-MONEY sasa ni muziki tu kwa kwenda mbele.....ingawa na-enjoy sana miziki yao!
Kisumbo said: Mbona choice Fm hakuna program yoyote, hakuna matangazo wala hasikiki mtangazaji yoyote ni mziki tu. what happened? Click to expand... hata mimi nimejiuliza sana, asubuhi nimezoea kuwasikiliza EVANS na BABY jioni V-MONEY sasa ni muziki tu kwa kwenda mbele.....ingawa na-enjoy sana miziki yao!