Chizi wa Mapenzi

jangwaniii shule yetuuu, jangwaniii naipendaaa. Jangwaniii yasifikaaa, kokoteee tanzaniaaaaa. Jenga, jiheshimu jitegemeee, ni motooo wa shule yetuuuu.
Daahh, nimekumbuka mbali Tyta
 
Last edited by a moderator:
watoe haraka huko fanyeni mazungumzo ya kina na ruhusu uhusiano uendelee bila athari kwa masomo ya huyo binti
 
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?

Jela??...

hiyo nyumba yenu imekamilikaje mpaka kuwa na jela aisee?
 
Pole! Enzi zetu shuleni tulikua tunalishwa ugali au kande zinanuka mfuta mafuta ya taa..tuliamini tulifanyiwe vile kupunguza mchecheto ea kutaka mapenzi. Baada ya kusema hayo nakupa ushauri.. kwa spidi ya huyo binti wekeni bili ya at least lita moja per day ya mafuta taa mumpige dozi ya uhakika atulie. Mkidharau ushauri huu.. 1. Mimba is around ze kona 2. Kula hasara ya ada 3. Wataongezea wengine
 
jangwaniii shule yetuuu, jangwaniii naipendaaa. Jangwaniii yasifikaaa, kokoteee tanzaniaaaaa. Jenga, jiheshimu jitegemeee, ni motooo wa shule yetuuuu.
Daahh, nimekumbuka mbali Tyta

Wapi mama nkya n anko mbowe.
 
Last edited by a moderator:
elimu kwanza jamani. form 3 mbona mdogo sana? atakuwa kaanza lini mchezo huo wa kubanjuliwa?
 
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?

Nahisi unamaanisha mpwa, anakuita mjomba.

wako jela au rumande?

mliwapeleka huko ili iweje?
 
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?

wafanyieni sherehe watu wale wanywe kisha wacheze ngololo ,yani na baridi yoote hii mnawazuia watu wasitiane joto !? Dhambi gani hii loh...!!!
 
elimu kwanza jamani. form 3 mbona mdogo sana? atakuwa kaanza lini mchezo huo wa kubanjuliwa?

Sista keshaonja tam huyo wamuache tu kwanza kwakuwa hataambilika mpaka atakaposhibishwa ,kumbuka msimu wa ndimu na maembe mabichi unakaribia
 
tumuombee mungu amuepushe na magonjwa kama ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…