O oduko Senior Member Joined Dec 16, 2012 Posts 169 Reaction score 56 Apr 1, 2013 #1 BAADA ya msako "POLICE" walimkamata CHIZI bila kujua. alipofikshwa kituoni yule CHIZI alicheka sana baada ya kuona picha ya KIKWETE na NYERERE. walipomuuliza unacheka nini? akajibu kweli msako wa leo kiboko hadi KIKWETE na NYERERE wamo ndani?..
BAADA ya msako "POLICE" walimkamata CHIZI bila kujua. alipofikshwa kituoni yule CHIZI alicheka sana baada ya kuona picha ya KIKWETE na NYERERE. walipomuuliza unacheka nini? akajibu kweli msako wa leo kiboko hadi KIKWETE na NYERERE wamo ndani?..
EXTERMINATOR JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 343 Reaction score 90 Apr 1, 2013 #2 Chizi kavuta bangi tehteh...Hii kali