chizi acheka sana baada ya kufika sero

chizi acheka sana baada ya kufika sero

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
BAADA ya msako "POLICE"
walimkamata CHIZI bila kujua.
alipofikshwa kituoni yule CHIZI
alicheka sana baada ya kuona picha
ya KIKWETE na NYERERE.
walipomuuliza unacheka nini?
akajibu kweli msako wa leo kiboko
hadi KIKWETE na NYERERE wamo
ndani?..
 
Back
Top Bottom