chitchat haiwahuuuu!!!!!

Msamehe bure mpz! Na mimi sikuachi hata kwa dawa!

kwako, Filipo
Mimi amu kwa akili zangu timamu wala sijashawishiwa na mtu yeyote nakuacha wewe kwa Filipo kwa talaka 10 mbele ya mashahidi marejesho, Erickb52 na wote watakaosoma hii talaka .
Kuanzia mda huu mimi si mpenzi wako wala wewe si mpenzi wangu.Narudi kwa mpenzi wa ukwee St. Paka Mweusi.
Wako akupae talaka amu.
 
Last edited by a moderator:

wewe unatakiwa upite kwa kungwi gfsonwin kwanza ndio uje usome ulichoandika hapa! Uliona wapi mwanaume akapewa talaka? Na nyumba ndogo inauhalali gani wa kufanya hayo? Mimi ni mume wa mtu ati?
 
Last edited by a moderator:
kulikuwa na "sintofahamu" kati yao ila nimeimaliza!
Hii sintofahamu ili isahaulike na isijirudie tena ukaguzi yakini lazima ufanyike.

We kagua ladyfurahia, mi niachie haka kabinti amu nikafanyie ukaguzi wa kina...... amu, come this way baby......:mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
Hii sintofahamu ili isahaulike na isijirudie tena ukaguzi yakini lazima ufanyike.

We kagua ladyfurahia, mi niachie haka kabinti amu nikafanyie ukaguzi wa kina...... amu, come this way baby......:mwaaah:

mhhh we Asprin una roho yangu etiiii...
Wikiendi imefika njoo nikuchune bathiiii
 
Last edited by a moderator:
wewe unatakiwa upite kwa kungwi gfsonwin kwanza ndio uje usome ulichoandika hapa! Uliona wapi mwanaume akapewa talaka? Na nyumba ndogo inauhalali gani wa kufanya hayo? Mimi ni mume wa mtu ati?

beijing iliruhusu hii hata mamito gfsonwin analijua hilo
 
Last edited by a moderator:
Halafu mimi hamu yangu inamwagikia chini? Ntalia hapa watoto wasikie!?
mhhh we Asprin una roho yangu etiiii...
Wikiendi imefika njoo nikuchune bathiiii
 
Last edited by a moderator:
Halafu mimi hamu yangu inamwagikia chini? Ntalia hapa watoto wasikie!?

ha ha roho inakuuma eeee???
Angalia na vikongwe vyako visije vikakupa chembe ya moyo bureeee.
Cheers kwa buzi langu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Tudumu milele na milele

Kam zis wei amuuuuuuuuu:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
amen
nimeshafika tayarii buzi langu
mabuzi mpewe miaka 1000000000000000 bila ya nyinyi maisha mjini hayaendi.
Copy kwa Filipo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa KIBUTU KINAUMA mweeeeeee!
Copy kwa PakaJimmy LiverpoolFC sweetlady Blaki Womani Lily Flower Mungi Arabela KOKUTONA Arushaone Dark City Asprin Mzee wa Rula Bishanga Mr Rocky nitonye Vin Diesel Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…