chitchat haiwahuuuu!!!!!


Da amu kuwa mpole.. Nyie wote wetu jamani.. Tuepuke bifu,ibilisi atupitie mbali..
Pls jamani...
 
Last edited by a moderator:
mambo safi wokovu saizi yako unasemaje shem! maana wewe umeniona tu akili yako imeruka hebu njoo huku basi ili roho yako itulie

karibu kula Filipo

Asante mwaya! Nimepewa mamlaka na Asprin nikukague. Utakuja lini?
 
Last edited by a moderator:
Mungu akusamehe nami nakusamehe kwa kunitukana, kweli watoto wa siku hizi hawana heshima nimekusamehe mwanangu sina la kukujibu kabisa amu
 
Last edited by a moderator:
niambie muda wako na nafasi kama unayo mm niko free kuja huko utakako kwani ...............? imekuwa nongwa ila naomba umsaidie amu ananitukana bure mie sijui nimemfanyia nini naomba anisamehe kwani mie siwezi kuzungumza na vitoto jamani best fanya msaada kidogo hapo nimesikitika sana na sijapenda kwani anataka kuiondoa furaha niliyonayo hapa Filipo
 
Last edited by a moderator:

....mamayo mtoto uliyemnya .....jibu hoja siyo kuomba sympathy kwa watu why?
Nipe bwanako nimuoneshe utoto wangu....
 
Last edited by a moderator:
We waache....

Mi nawaangalia tu:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Eti babu tablet,nakuja huku nadance kimtindo,kisha namnyanyua her ekselensi madam cacico ,naye anakuachia handbag yake,yenye simu,peni,wanja na diary.. Shaka iko wapi?
Na ni miziki mitatu tu,miwili ya charanga,na mmoja wa R Kelly wa "Step..Step.."
 
Last edited by a moderator:
Uredi ladyfurahia!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi nakuomba tu kwa moyo wa upendo! Si vema kutukanana humu kwasababu ya hasira. Control your self and live her alone! Unajua nawapenda wote!?
sidelete yeye kaanza ayamalize
 
Mi nakuomba tu kwa moyo wa upendo! Si vema kutukanana humu kwasababu ya hasira. Control your self and live her alone! Unajua nawapenda wote!?

ha ha ha mi mbona peace... Tatizo huyo demu wako kaanza kuleta za kuleta
Halafu utaniwekaje kundi moja na huyo????
Kama vipi nimekupa talaka baki nae huyo ladyfurahia...
 
Last edited by a moderator:
Msamehe bure mpz! Na mimi sikuachi hata kwa dawa!
ha ha ha mi mbona peace... Tatizo huyo demu wako kaanza kuleta za kuleta
Halafu utaniwekaje kundi moja na huyo????
Kama vipi nimekupa talaka baki nae huyo ladyfurahia...
 
Last edited by a moderator:

Pole sana dear, umeshasamehewa kwa hisani ya Filipo! Uzuri na wewe umesamehe! Shetani kapita!
Turudi kwenye ukaguzi sasa! Kwahiyo umesema upo Free!?
 
Last edited by a moderator:
Eti babu tablet,nakuja huku nadance kimtindo,kisha namnyanyua her ekselensi madam cacico ,naye anakuachia handbag yake,yenye simu,peni,wanja na diary.. Shaka iko wapi?
Na ni miziki mitatu tu,miwili ya charanga,na mmoja wa R Kelly wa "Step..Step.."
Ruksaaaa! We uampaburudani ya nje mi nampa ya ndani. Swadaktaaaa!

Afu Filipo popote ulipo hebu niambie nini kinaendelea hapa kati ya ladyfurahia na amu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…