trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
ndaga baba, uchunge lakini! Asprin atakuwa na AK47! shaurilo, mie simooooooooo! ila mwanaume kujiamini, achana na hao wach.mbi.a ----- wasiojua kati ya bahari kuna nini!!
ngummbo bhuno ikufuka ilyojho
Nikupendejeeee,
Ewe wangu ili ujue nakupenda?
Mawazo yangu kila siku juu yako
Ewe The secretary!
Sosi: mbaraka mwinshehe mwaruka,RIP
kwanini mnaleta ukabila humu kwenye chitchat room jamani hatupendi tabia hizo nyie ongeeni lugha inayoeleweka katika jamii sio mambo yenu ya kimkoa hapa mnatuchanganya na sisi wapare tukitaka kuongea lugha yetu si patakuwa hapatoshi humu room acha tabia hiyo wewe watu8, Dr.zero na Bujibuji ACHENI UKABILA HAPA MWL NYERERE ALIKEMEA KWA NGUVU ZOTE HIYO KITU ACHAAAA
Jwani mwalangani?? ulin'ndema ugwe mweeh!!

yani mpenzi kuna wanaotuona wanachitchat vilaza kweli
siwezi bishana na watu wenye matatizo wewe badala ya kusoma uko chitchat unacomment hovyo nenda darasani kasome huku tuwachie wazee tujiliwaze kwani wakati wetu ushakwisha sie tunakula matunda ya jacho letu amu
Mambo dear!!?
Jwani mwalangani?? ulin'ndema ugwe mweeh!!
kwanini mnaleta ukabila humu kwenye chitchat room jamani hatupendi tabia hizo nyie ongeeni lugha inayoeleweka katika jamii sio mambo yenu ya kimkoa hapa mnatuchanganya na sisi wapare tukitaka kuongea lugha yetu si patakuwa hapatoshi humu room acha tabia hiyo wewe watu8, Dr.zero na Bujibuji ACHENI UKABILA HAPA MWL NYERERE ALIKEMEA KWA NGUVU ZOTE HIYO KITU ACHAAAA
sikiliza wewe unanijua au unamake assumptions.
???
Nlivyosoma nauhakika wewe na uzee wako hujazisoma bloodfull wewe.
Pambaaaf uwe mzee uwe kijana hayo ndo unayoyataka jiheshimu uheshime......
Nahisi comment yangu hukuielewa au uliisoma wakti umelewa chibuku..
Sasa ukiwa na akili zako timamu soma halafu uje tena..