JOHN WA MARWA
Senior Member
- Nov 16, 2013
- 100
- 61
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,

angalia kwanza matatizo na uchafu wa ndani ya chadema uliomtoa chitanda.ndio umgeukie yeyeHuyu chitanda alikuwa ni panya aliyekuwa akiishi nyumbani kwa binadamu wakati makazi yake halisi ni vichakani au kwenye mashina ya katani.Kwa hiyo ameona hawezi kuishi na binadamu ila ameamua kwenda kuishi na kenge na mijusi vichakani.Mla rushwa yeyote hawezi kukaa CDM Labda kama atakuwa amekuja kutarii tu.
Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!