Chinese why now? Mmepitiliza

Angry Bird

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2016
Posts
514
Reaction score
487
Mungu baba wa mbinguni nakushukuru sana sikuzaliwa china ama south east Asia. Chakula gani tena hiki sasa? Hivi kweli mmekosa kitu cha kula mnakula madudu yakitembea?
 

Attachments

Kuna uwezekano na wewe wakikuona unavokula mlenda wakakushangaa!
 
kaa watamu sana pale mediterano wanawapika vizuri sana nilikula hapo siku moja na sponsor wangu wa korea acha kabisa
 
Duuu kila sehemu na taratibu zake,kuwa mpole
 
Mungu baba wa mbinguni nakushukuru sana sikuzaliwa china ama south east Asia. Chakula gani tena hiki sasa? Hivi kweli mmekosa kitu cha kula mnakula madudu yakitembea?
Wao wana kula hivyo ingalao vina proteins, lakini ona hapo cjini wanachokuletea wewe na vizazi vyako.
 

Attachments

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…