Chinese Government Scholarship kupitia MOE

Chinese Government Scholarship kupitia MOE

FMB

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
25
Reaction score
10
Habari za majukumu wakuu.

Kama uliomba hio kitu hapo juu kaa mkao wa kuitwa. MIE nimeitwa leo via SMS.


Mkuu MB funguka basi!

Mkuu mimi pia nilkua safarini kesho ndio natarajia kufika huko. Ila kwa uzoefu tu hua unatakiwa kua na documents zote muhimu kama certified copies za vyeti vyako, barua toka bodi kuthibitisha kua unalipa mkopo au makubaliano yoyote baina yako na bodi uu ya mkopo.

Then ukiwa tayari wanakupa agency namba na maelekezo unaenda kujaza online application. Pia hua kuna kujaza medical form.

Kesho nikifanikiwa kufika huko nitatoa feedback, ila mara nyingi hua wanatoa one week kukamilisha kila kitu.
 
Unatakiwa uende na vitu hani mkuu? Deadline ni lini? Niko nje ya nchi na nimeitwa, nataka nifunge safari
 
Feedback???? Mi naenda Leo. Nilikua mkoani
 
Habari wadau.kuna tetesi university selection zimefanyika tayari,ukicheki kwenye website ya hivi vyuo utakuta majina ya waliobahatika kupata scholarship,lakini almost all of them ni asians,imekaaje,sie wengine ni msala au hawa waliombaje?
 
Kuna hii msg ya congratulation ya csc,hivi wadau wote waliopata scholarship wametumiwa au baadhi tu?
 
Daaa hizo scholarship acha tu; kuna usanii wa kufa mtu, unaweza pata chuo na kule jina lipo ila wizara wakakukata bila Aibu; wakapachika kilaza wao aliotoa pesa! Acha tu
 
Daaa hizo scholarship acha tu; kuna usanii wa kufa mtu, unaweza pata chuo na kule jina lipo ila wizara wakakukata bila Aibu; wakapachika kilaza wao aliotoa pesa! Acha tu

Ile ofisi ina njaa hata kwa kutazama tuu..... Yawezekana kauli yako ikawa na ukweli
 
The teh!ila nadhani kama mtu alipata hiyo Mail atakuwa na uhakika wa kuitwa na wizara
 
Payer,punguza hasira,subiri mpaka simu za wizara zipigwe wk ijayo,sema mtu unaweza kulowaswa any time
 
Payer,punguza hasira,subiri mpaka simu za wizara zipigwe wk ijayo,sema mtu unaweza kulowaswa any time

Aaah Mkuu sina hasira, mie nilibanwa mbavu heslb na sikumaliza application (haikupokelewa wizarani).

Ila kuna nyingine iliyokuwa chini ya mofcom (ministry of finance - China) niliomba. Ndiyo naisubir. Haikupitia wizarani.
 
Back
Top Bottom