Halina panzi kweli hilo?
Ushawahi kula vyakula ya west Africans?Rafiki yangu aliishi nyumba moja na mchina, ananiambia wakati wanapika wanakuwa na bakuli ambalo wanaosha kila kitu kitakachotumika kwenye mapishi na mwisho yale maji ya kuoshea yanaongezewa kwenye mchuzi.
Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki niliyowapata nimeweza kumudu kula vyakula vya nchi wanazotoka.
Kitanda changu ninahakikisha ni kisafi mahali ninapoweza kupata usingizi mzuri kwani hii ni starehe unayopata bila malipo.
Katika vyakula nimejaribu kula Chinese nimeshindwa kabisa, siku ya kwanza nilikuwa na wenzangu safarini, group lote waliamua kwenda Chinese restarant, niliingia chakula chote nilichokula nilirudisha change pale, ilibidi niweke tissue mdomoni nikikimbila bafuni. Mara ya pili binamu yangu alinipeleka buffet ya wa-China, nilishindwa kumwambia hiki hakipandi, tumefika nilijikaza, tumerudi nyumbani yaliyonitokea sina haja ya kusema mengi.
Hivi ni mimi tu au kuna ambao chakula cha wa-China hakipandi?
mimi kama wewe mkuu...Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki niliyowapata nimeweza kumudu kula vyakula vya nchi wanazotoka.
Kitanda changu ninahakikisha ni kisafi mahali ninapoweza kupata usingizi mzuri kwani hii ni starehe unayopata bila malipo.
Katika vyakula nimejaribu kula Chinese nimeshindwa kabisa, siku ya kwanza nilikuwa na wenzangu safarini, group lote waliamua kwenda Chinese restarant, niliingia chakula chote nilichokula nilirudisha change pale, ilibidi niweke tissue mdomoni nikikimbila bafuni. Mara ya pili binamu yangu alinipeleka buffet ya wa-China, nilishindwa kumwambia hiki hakipandi, tumefika nilijikaza, tumerudi nyumbani yaliyonitokea sina haja ya kusema mengi.
Hivi ni mimi tu au kuna ambao chakula cha wa-China hakipandi?
kabisa kabisa.Kumbe tuko wengi hiki chakula kimetukataa.
Miaka yote nloishi china sijawahi kukielewa chakula chao, hakina fleva kabisa maswala ya spices kwao hayana kipaumbele.sana sana napendelea chakula cha wachina wa Xinjiang,maana wao wanapika kipwani zaidi tafauti na wachina wengine
Vyakula vyao ndo kama hivi
I don know nothing about em european food..when it comes to BBQ or beef fillet kuna wamexican na brazilians buanaaa...
Hahah mkuu mi nlikuwa zaidi shenzhen na guangzhou,sijawahi kuvipenda vyakula vyao kwa kweli sjawahi hata jisumbua kujua majina,siunajua wale kitimoto ndo mboga ya taifa na mie mwislamu,tokea nilivyonusurika kulishwa wali kitimoto ndo nkakimbilia kwa waxinjian mana wale tunafanana kiimani so vyakula vyao ni halal.Inategemea kama umeishi beifang au nanfang...
Beifang ndio kuna vyakula weird, lakini ukiishi kusini kusini kuna dishes poa sana mfano dishes za sichuan l, changsha, wuhan kote huko ziko bomba sana...
Ushawahi kula "wuchang yu 武昌鱼wewe?
Ebana wabrazili kwenye BBQ ni nomaI don know nothing about em european food..when it comes to BBQ or beef fillet kuna wamexican na brazilians buanaaa...
Nimejaribu mavyakula mengi, lakini ya kichina nimekoma!!Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki niliyowapata nimeweza kumudu kula vyakula vya nchi wanazotoka.
Kitanda changu ninahakikisha ni kisafi mahali ninapoweza kupata usingizi mzuri kwani hii ni starehe unayopata bila malipo.
Katika vyakula nimejaribu kula Chinese nimeshindwa kabisa, siku ya kwanza nilikuwa na wenzangu safarini, group lote waliamua kwenda Chinese restarant, niliingia chakula chote nilichokula nilirudisha change pale, ilibidi niweke tissue mdomoni nikikimbila bafuni. Mara ya pili binamu yangu alinipeleka buffet ya wa-China, nilishindwa kumwambia hiki hakipandi, tumefika nilijikaza, tumerudi nyumbani yaliyonitokea sina haja ya kusema mengi.
Hivi ni mimi tu au kuna ambao chakula cha wa-China hakipandi?
Hahah mkuu mi nlikuwa zaidi shenzhen na guangzhou,sijawahi kuvipenda vyakula vyao kwa kweli sjawahi hata jisumbua kujua majina,siunajua wale kitimoto ndo mboga ya taifa na mie mwislamu,tokea nilivyonusurika kulishwa wali kitimoto ndo nkakimbilia kwa waxinjian mana wale tunafanana kiimani so vyakula vyao ni halal.
Hahah hayo majina sasa ndo unaniacha hoi,mi nlikuwa naangalia tu picha kwenye menyuNaam ukiwa Guangzhou au Shenzhen ni bora uende kwa hao mabwana, ukipata mifan yako iliyochanganywa na jidan, na hiyo dapanzhi au xiaopanzhi...hahah...mambo yanakuwa barabara!!!