CHINA yatoa muongozo kwa serikali ya KIKWETE

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Serikali ya China imeamua kushugulikia ufisadi na kudhibiti mfumuko wa bei kama njia ya kuhakikisha amani. Serikali ya Kikwetwe ikifuata njia hii haitasumbuliwa na maandamano ya CHADEMA


BBC News - China's Premier Wen Jiabao targets 'social stability'

China's Premier Wen Jiabao targets "social stability"

China must ensure social stability by reducing inflation and corruption, Premier Wen Jiabao has told the parliament's annual session.

Mr Wen has been addressing about 3,000 delegates to open the National People's Congress in the Great Hall of the People in Beijing.

He says the government aims to keep inflation to within 4% and hit economic growth of 8%.

Mr Wen accepted that uneven economic development was a "serious problem".

The focus on social stability was echoed in an editorial in the Communist Party-run Beijing Daily that coincided with the opening of the Congress and which warned against any Middle East-inspired pro-democracy protests.

The speech is the most important of the year delivered by a Chinese politician, correspondents say, similar in status to the State of the Union address in the US.

"Recently, prices have risen fairly quickly and inflation expectations have increased," Mr Wen says.

"This problem concerns the people's well-being, bears on overall interests and affects social stability. We must, therefore, make it our top priority in macroeconomic control to keep overall price levels stable."

Inflation in China is at 4.9%, and has continued to accelerate despite three recent interest rate hikes. Analysts say it has yet to peak.

Rising prices are a concern because poor families spend up to half their incomes on food.

This year's National People's Congress, which meets for 10 days, is to approve China's five-year plan for 2011-2015.

The plan, the country's 12th since the Communist Party took power in 1949, aims to create more sustainable growth and even out growing disparities in wealth between rich and poor.

'Tranquil and orderly'
Domestic demand would be stimulated, Mr Wen said, with subsidies to farmers and the urban poor increased.

"Expanding domestic demand is a long-term strategic principle and basic standpoint of China's economic development as well as a fundamental means and an internal requirement for promoting balanced economic development," Mr Wen said.

The government would "firmly curb the excessively rapid rise of housing prices in some cities".

China's economy has become the world's second largest after several decades of rapid growth. But the success has come at the cost of polluted skies and waterways across much of the country.

Much of that growth has been driven by exports and large infrastructure projects, but there are concerns that the economy could falter unless it changes course.

"We must make improving the people's lives a pivot linking reform, development and stability... and make sure people are content with their lives and jobs, society is tranquil and orderly and the country enjoys long-term peace and stability," Mr Wen said.

He made no mention of the unrest in the Middle East, but the Beijing Daily editorial said that "stability is a blessing and chaos is a calamity".

Recent anonymous calls from a US-based website for pro-democracy protests in Chinese cities have been smothered by police.

"Those people intent on concocting and finding Middle East-style news in China will find their plans come to nothing," Beijing Daily said.

There are tens of thousands of protests across China every year, but most are over local grievances, especially land confiscated for development projects.

Despite the booming economic growth there are millions who feel shut out, angry at official corruption, at inequalities that are rising and at land grabs, says the BBC's Damian Grammaticas in Beijing.

That is why the government is so concerned about the possibilities for unrest, he says.
 
Hiyo ngumu sana kutekeleza hapa bongo mkuu! Hapa kwetu we are driven by the exigencies of the moment! Ndiyo maana kila siku tuna kuwa na budget ya dharula, hata kwa kile ambacho ni habitual, mfano mgao wa umeme!
 
safi rais anakua na source,solution na figure ya tatizo!bongo rais wetu analalamika tuu badala ya kutoa muongozo!halafu kesho yake karuka kutalii!jk amekosa leadership skills
 
safi rais anakua na source,solution na figure ya tatizo!bongo rais wetu analalamika tuu badala ya kutoa muongozo!halafu kesho yake karuka kutalii!jk amekosa leadership skills

Wen's is a very instructive speech that we ought to emulate. But we should remember that Chinese have really travelled a long distance to get where they are at the moment. These things are also possible in Tanzania but we should realize that this is a journey that requires commitment, hard work and above all leadership that is bale to draw policies that are able to set priorities in implementation of the policies. Leaders should identify corruption as one of the serious drawbacks in realisation of these goals. The issue is whether those in the political leadership know what is bedevelling us and that the solution lies in all of us, including the leaders.
 
Mie nawachukiaga watu ambao eti wanasema kuendelea lazima ichukue muda. Mie haya mawazo nadhani ni mgando.
Kama mtu amehangaika kupita njia fulani na akapata mafanikio let say kwa miaka kumi, sidhani mtu mwingine akitumia njia hiyo atatumia miaka hiyo kumi.
Hii ni kwa sababu tayari zile trial and error zitakuwa zimejulikana na hivyo ni kufuata njia rahisi. Mtu anayesema china imechukua miaka mingi kufika hapo ilipofika na kujipa excuse eti na sisi itachukua miaka mingi napingana nae kwa sababu kadhaa.
Kwanza kabisa tuko kwenye "digital edge" hivyo unaweza ukapata technology yoyote kirahisi tofauti na hao wenzetu waliotutangulia. Pili kwa sasa kuna njia mbalimbali na nyingi za kutatua matatizo mbalimbali kwa sababu ya advanced technology.
Watu kama hao wanaodhani ni lazima tutachukua miaka mingi kuendelea naona wako ktk kundi moja na mkulu wetu anayelaumu na kujifariji kwamba kama nyerere, mwinyi na mkapa walishindwa basi hata yeye atashindwa tuu.
 
Rwanda safari yao wanatumia airbus 380 au concord ili nasi tupande tumechoka na safari
 
Angalia gazeti mwananchi la leo front page jengo moja la darasa linatumiwa na wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wanapishana migongo
 
Ili tuweze kufanikiwa lazima serikali ikubali kwa nia moja kupambana na wala rushwa na ijiendeshe yenyewe bila kutegemea mafisadi. Kutokana na rasilimali tulizo nazo na iwapo serikali itaamua kusimamia kwa haki na kupambana na rushwa ndani ya miaka michache TZ itakuwa imefanikiwa kiuchumi kwa kiwangu kikubwa. Ukitembelea haya mataifa yaliyofanikiwa ni vigumu kukutana na rushwa na endapo mtu akipatikana na kosa la rushwa adhabu inakuwa kali sana. Rushwa na kukosa uadilifu ni adui mkubwa wa maendeleo ya TZ.
 
katika utetezi wa ccm wa kwa nini vitu vinafumuka bei kila asubuhi utasikia kwa vile vitu vingi tunanunua china na kule bei zinapanda kwa hiyo hatuna cha kufanya, huna cha kufanya? sasa unangoja nini kuachia madaraka kama huna cha kufanya? CCM wanakera sana!
 
jamani sisi wenye madeni mengi tunapenda mfumuko wa bei ili kushusha thamani ya deni
 
imefika wakati serikali ikubali udhaifu uliopo kwenye utendaji wake na kuishigulikia...mimi naamini hata CHADEMA wakinnyamazishwa kama chama, na haya mambo yakaendelea basi itafika wakati wananchi wataamua kuchukua hatua, na hapo ndio itakua kama Misri , Tunisia na Libya. Ni bora serikali ishugulikie haya mambo mapema wakati wananchi wachache wanayaona , wakiwa wengi itakua shida zaidi.
 
Tatizo letu ni waingeaji na wana mipando sana bila vitendo.
We dont have any kinda implementation on our proporsals which always remain on the papers.
so what do you expect from such situation.
Chinese leaders are so strict and hard working on each and every thing.
 
Back
Top Bottom