China yasitisha ununuzi wa mafuta ya Iran kuhofia vikwazo toka Marekani

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
China imesitisha ununuzi wa mafuta toka Iran kabla ya muda wa vikwazo vya Marekani kuanza kufanya kazi hapo Novemba 4. Marekani ilitishia kuiwekea vikwazo nchi au kampuni yoyote ile ambayo ingejihusisha na biashara ya mafuta toka Iran.

Makampuni ya Ulaya pia yamesitisha biashara na Iran.

Saudi Arabia imeahidi kuongeza uzalishaji wa mafuta kuziba pengo la Iran ili kusaidia kushusha Bei ya bidhaa hiyo.

China Cuts Iran Oil Purchases Ahead of U.S. Sanctions
 
Back
Top Bottom