China yasema haitaruhusu ndoa za jinsia moja

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
JIPIN.jpg

China imetangaza kuwa haitaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja, licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati kuitaka Bejing kufuata nyayo za Taiwan ambayo imeruhusu ndoa za jinsia moja.

Msemaji wa Bunge la China amesema kuwa msimamo wa kisheria wa China unabaki ule ule wa kutambua kwamba ndoa ni kati ya mwanamume na mwanamke.

Aidha, mwezi Mei 2019 Taiwan ilikuwa taifa la kwanza la Asia kuidhinisha ndoa ya watu wa jinsia moja baada ya mjadala wa miaka mingi juu ya usawa wa ndoa.

Hata hivyo, wachambuzi wanasema kuwa kuna jamii kubwa ya mashoga katika miji mikubwa ya China, ambapo katika miezi ya hivi karibuni jamii hiyo imekuwa ikilengwa kwa kuhesabiwa na kuzusha hofu huenda Wachina wakaanza kutowavumilia.
 
Safi sana China God created Adam and Eva not Adam and Andrew
 
Wakenya hapo wapo hivi [emoji48][emoji48]maana wanapenda sana kuiga utamaduni wa wazungu wenyewe wanaona wanaenda na wakati
JIPIN.jpg

China imetangaza kuwa haitaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja, licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati kuitaka Bejing kufuata nyayo za Taiwan ambayo imeruhusu ndoa za jinsia moja.

Msemaji wa Bunge la China amesema kuwa msimamo wa kisheria wa China unabaki ule ule wa kutambua kwamba ndoa ni kati ya mwanamume na mwanamke.

Aidha, mwezi Mei 2019 Taiwan ilikuwa taifa la kwanza la Asia kuidhinisha ndoa ya watu wa jinsia moja baada ya mjadala wa miaka mingi juu ya usawa wa ndoa.

Hata hivyo, wachambuzi wanasema kuwa kuna jamii kubwa ya mashoga katika miji mikubwa ya China, ambapo katika miezi ya hivi karibuni jamii hiyo imekuwa ikilengwa kwa kuhesabiwa na kuzusha hofu huenda Wachina wakaanza kutowavumilia.
 
yaani ndo nawaza ukutane na shoga la kichina linalopiga kalatee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Daah this thing come to take over kuna mwenye idadi kamili ya nchi zilizokataa maan marekani wanekubali tukasikiliza t,,,nao tukakataa now its china how many country accept it
 
JIPIN.jpg

China imetangaza kuwa haitaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja, licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati kuitaka Bejing kufuata nyayo za Taiwan ambayo imeruhusu ndoa za jinsia moja.

Msemaji wa Bunge la China amesema kuwa msimamo wa kisheria wa China unabaki ule ule wa kutambua kwamba ndoa ni kati ya mwanamume na mwanamke.

Aidha, mwezi Mei 2019 Taiwan ilikuwa taifa la kwanza la Asia kuidhinisha ndoa ya watu wa jinsia moja baada ya mjadala wa miaka mingi juu ya usawa wa ndoa.

Hata hivyo, wachambuzi wanasema kuwa kuna jamii kubwa ya mashoga katika miji mikubwa ya China, ambapo katika miezi ya hivi karibuni jamii hiyo imekuwa ikilengwa kwa kuhesabiwa na kuzusha hofu huenda Wachina wakaanza kutowavumilia.
Good News
 
Maisha haya buana yaani mwanaume unapigwa mashine na mwanaume mwenzako na kiuno unakataa, hatari sana
 
Back
Top Bottom