bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Akizungumza na vyombo vya habari waziri wa mambo ya nje wa China WANG YI alisema,
Nafasi ya China kwenye kupinga vikwazo ipo wazi Marekani (the US) hivi karibuni imekuwa ikitoa kauli /nukuu za vitisho dhidi ya China,
Kwamfano White House secretary of state Jen psaki alisema.
China itakumbana na matokeo makubwa Kama itaunga mkono uvamizi wa Urusi, na kwamba China na Urusi zinaunda/chukua asilimia 15-20 ya uchumi wa dunia na Nchi za G7 zinaunda zaidi ya 50% ya uchumi wa dunia n.k
Nukuu hizi za US zinaakisi vitisho na kuonesha wazi fikra za ndani zisizozamsingi (zero sum cold war mentality) za vita baridi na mafarakano ya kimakundi/kikanda(Bloc confrontation). Nakudhihirisha upande mwingine wa Marekani kufanya vitu vyao kinguvu hasa kwenye suala la UKRAINE.
China imekuwa ikifanya maamuzi yake kwa uhuru kwakusisitiza mazungumzo na makubaliano yanayolenga kumaliza/kufifisha siyo kuchochea Vita na kuweka nguvu zake katika kusuruhisha.
Habari zozote za upotoshaji zinazofifisha juhudi za malengo ya China Ni zakukosa uwajibikaji na maadili.
China inaendelea kusisitiza vikwazo vya kiuchumi (sanctions) siyo njia sahihi yakumaliza migogoro na China inaendelea kuwa kinzani/tofauti na US .
China inaendelea kulinda maslai ya wafanyabiashara wake na mtu mmoja mmoja na haki zao. Majaribio yoyote ya kuanzisha vikwazo wakati huo kutaka msaada wa China na ushirika wake haitofanya kazi.
Tunatoa wito kwa US kutopuuzia haki za msingi na maslai ya China kwa namna yeyote,
Majaribio yoyote ya US China iko tayari kuja na hatua Kali zaidi.
View attachment 2154168View attachment 2154169View attachment 2154170