China yajenga daraja refu kuliko yote duniani

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
China yawa nchi ya kwanza duniani kujenga daraja refu zaidi kushinda yote.Daraja hilo linaunganisha China bara, Hong Kong na Macau. Hongera saaana china. Ila tuhurumie waafrika na bara letu. Maana unatukamua haswaaa.
Screenshot_20181022-174907.jpeg
 
duuh mi sina neno..... tusubir standard gauge yetu itakayotoka dar mpka rwanda kwa KGM
 
China yawa nchi ya kwanza duniani kujenga daraja refu zaidi kushinda yote.Daraja hilo linaunganisha China bara, Hong Kong na Macau. Hongera saaana china. Ila tuhurumie waafrika na bara letu. Maana unatukamua haswaaa.View attachment 907309
Halikujengwa na China limejengwa na rais wao Xiao Ping na CCP, hata hivyo wapinzani nao watapita humohumo kwani maendeleo hayana chama.
 
Back
Top Bottom