China yaionya Marekani dhidi ya kutuma wanajeshi Mashariki ya Kati

Naendelea kusema wewe ni dogo sana kwangu, dalili zako kuongelea nati sijui zimelegea unaonyesha niijinsi gani bado una akili za kitoto kwangu, Al Rijali Rijali hawaongee ushoga kama wako hapo.

Mwanaume aliye kuwa kiakili huwa anakwenda kwenye point FYI dogo mimi nakula pension wakati we bado unaajiriwa.

Tukirudi kwenye histori dogo we history gani unaijua ya UAE kuliko mimi, UAE kabla haijawa UAE ilikuwa inaitwa Sahili Oman hawana history hao.

Kwenda kukaa Dubai kwa visa ndio uijuwe kuliko mimi nilio somea pale tokea Wathbaa ambapo ndio kitovu cha bani Yasi labda we uliishia pale kwenye majumba tu Janafori :D

Nikikueleza we dogo unabisha wewe umefanya research ukaona wasaudia wanapendwa, wapi umefanya research yako. Mimi nakupa list nchi za kiarabu wanamchukia msaudia kuanzia Qatar, Palastine, Syria, Algeria, Misri, Tunis, Morroco, Oman, UAE, Yeman, Iraq, Jordan kawaulize wananchi wa nchi hizo kama hujapata jibu nalo ongea mimi


Saudia kuita mkutano pale alicho kuwa anakitafuta msaudia nchi zimsapoti kuhusu kupigwa na wa Yemen wale mahouti ba anasema Iran ndio inampiga, nani aliye msapoti?

Zaidi ya UAE, Baharain, Misri hizo ni serekali sii wananchi dogo. Unapo ongelea serekali unakuwa unachanganya sababu hata wa misri hawamtaki kiongozi wao.

Kuhusu UAE kijifanya yuko close na Saud Arabia nimeisha sema target yake kumpoteza msaudia ahisi kama UAE wanampenda katazame tube mfalme wa zamani wa Qatar na Ghadafi waliongelea hayo kuwa UAE wanamchukia Msaudia.

Dogo mimi huwa siongei kama hewa na dalili na fact.

Sunni gani ansema shia si muislam? Mbona mashia wanaenda kuhiji Makkah, dogo Makkah hawaendi wasio kuwawaislam, we unatakiwa kwanza urudi ukasomeshwe nini mana ya madhehebu ya uislam, hata shia wanasema Alwahebi sio waislam na wako ma sunni kwa masunni kila mmoja anamkashfu mwenzake. Sunni Salaf anasema Alwahebi ndio wanaharibu uislam.
Suni Shafi na Maiiki na wao wanakosoana.
Ibadhi pia wansemwa sio waislam sa muislam ni nani wewe kwenye akili yako?

Nimeisha kupa nenda kafanye research hii juzi juzi tu wa Sudan walizuia hata ndege ya Saudi pale Sudan we unadhani sababu gani?

dogo leta dalili hakuna hata ulicho kisema ni kweli hakuna alicho jenga mmarekani hapo ni serekali ya Dubai ndio ilio jenga, na wajengaji ni wahindi na wao ndio na engineering. Kuna baadhi badhi tu ya warabu, wa british, wafaransa na pia makabila mengine.


dogo mimi naijua dubai kuliko wewe mimi sijaishi dubai kwa visa mimi nimeishi Abu dhabi na Dubai kuliko unavyo dhani wewe ulivyo ishi.

Kwani nimesema imekwisha wapi nilisema imeisha yani nilicho sema ni msouth korea ndio anaijenga si USA.

dogo hivi huwa anajibu bila kufahamu nini.


Haha dogo shule ngapi za kimarekani ziko UAE utafananisha na za kihindi na warabu. Hivi dogo 1% ni kubwa kuliko 5%😁

dogo uwe unasoma kwanza population ya UAE ni million 8 karibu 1.5 ni wananchi wa UAE nilicho sema 30% wana nchi wa UAE wana asili ya kiiran wacha hao 500,000 wanao ishi Dubai na Sharjah tu. Hivi we unafahamu nilicho ongea au unapurukuta kujibu hujui watu wanaongea nini

Huwezi hata kuwa siku moja sababu akili yako inaonyesha hata 50 hujafika. Mimi kukuita we dogo ni kweli we dogo kwangu pumba unazo ongea eti Burj Khalifa kaijenga USA.

dogo mimi naweza kuwa dingi yako amini hilo wewe ni mtoto kabisa kwangu.
Sibishani na wapuuzi, mpumbavu mkaa tenge wewe.

Unaandika vitu kijinga bila ushahidi, upunguani ulioje huu
 
Sibishani na wapuuzi, mpumbavu mkaa tenge wewe.

Unaandika vitu kijinga bila ushahidi, upunguani ulioje huu
dogo we rudi ukasome vizuri ili ukija hapa ujue kuna wanaume walio timia akili zao timamu.

Nilijua utaishia matusi wewe dalili zako zipi ulizo leta zaidi ya kuongea utumbo tu.

Kalale mbelele ukija uwe unakuja na fact sio ujinga.

Usidhani wote wako level ya kitoto hapa.

Nice day.
 
Back
Top Bottom